Sunday, April 5, 2015

YESU ALISEMA "MTAKULA VITU VYA KUFISHA LAKINI HAVITAWADHURU" JAMBO AMBALO LIMETOKEA KWA KAMANDA JOSEPHAT GWAJIMA

Siku chache zilizopita wote tumeshuhudia mkasa uliomtokea mchungaji Gwajima, na kila mmoja aliongea chake anac
hokijua lakini msimamo wa Gwajima ulikuwa ni Mungu aliyemsimamisha na kumuinua hawezi kumuacha akae kwenye kiti cha wagonjwa milele. Leo hii kweli mambo yamekwenda kama alivyokuwa akisema, ameenda kanisani kwake huku akiwa anatembea na ameichapa injili, na kwenye ukurasa wake wa facebook ameandika maneno haya "
Ninamshukuru Mungu nimeinuka kutoka kwenye wheelchair na kutembea mwenyewe baada ya maombi ya kanisa zima kwa muda wa nusu saa.
Kwa kupigwa kwake, Yesu Kristo nimeponywa!!! Mungu akubariki wewe uliokuwa ukituombea."

No comments:

Post a Comment