Friday, April 10, 2015

KATIKA MGOMO WA MADEREVA DAR ES SALAAM POLISI WAWATAWANYISHA ABIRIA KWA KUWARUSHIA MABOMU YA MACHOZI

Leo hali ni tete dar es salaam, madereva wamegoma hivyo raia wako katika adha kubwa ya usafiri. Lakini katika hali ya kustaajabisha katika
eneo la stendi ya Ubungo polisi imewalazimu kutumia mabomu ya machozi kusambaratisha abiria waliokuwa wamekusanyika eneo hilo wakitaka kujua hatma ya usafiri wao kwenda mikoani

No comments:

Post a Comment