Wednesday, April 8, 2015

MTUMISHI WA MUNGU APOSTLE VINCENT MAKALLA AFUNDISHA KUHUSU MAAGANO PAMOJA NA UTENDAJI KAZI WAKE..

 RIDING UNDER THE COVENANT POWER OF REPLACEMENT.
Shauku yangu kubwa ni church kufahamu kutembea kwenye siri za Domonion.
Nimekuwa nafundisha kuhusiana na Restoration.
Siku zote restoration inafanya kazi nyuma ya covenant.
Ps 105:9-15, Math 26:27-28.

Apostle Vincent Makalla akiwa anahubiri kanisani kwake 
Moja ya mambo kutokuwa sawa duniani ni matokeo ya kulivunja Agano.
Isay 24:5-6.
Agano ni usimamizi wa invisible or spiritual forces.
Kuna mtu anaweza akafilisika kumbe amevunja agano fulani kati yake na MUNGU au miungu. Det 8:18.
Unaweza ukafanyiwa timbwili na watu lakini ili uweze kushinda hiyo hali unahitaji wewe uwe chini ya Agano la mababa tu.
Isay 61:1-9. Kuna kutembea chini ya covenant power of replacement.
Unaweza ukawa mfanyabiashra na wateja wakapatana kutokuja kwako kabisa lakini hutafunga hiyo biashara kamwe.
Wewe unapokubali kuwa chini ya Agano la mababa wa kiroho hutoifunga hiyo huduma au biashara.
Hili agano ni hatari sana, kwa sababu lina uwezo mkubwa sana sana sana.
Wa kurudisha hali iliyopotea au chochote kikarudi katika upya.
Agano hili tunalisema ni hatari. Linauwezo mkubwa sana wa kurudisha, kurejesha hali kitu au mtu anayefanana na yule wa kwanza.
Hili agano linafanya kazi sana ili kukusahaulisha.
Christians obey the Covenant of replacement; Iinafanya kazi.
Ndilo agano pekee linalomfanya Kuhani asonge mbele bila kupunguziwa mwendo.
Ndilo linalomsaidia Mfalme kutawala bila ukomo.
Mfalme Uzia alikimbiwa na majeshi yake akapata askari wapya bora wenye uwezo wa kutengeneza mitambo ya kurusha mishale.
II Nyak 26:13-15.
Safiri na hili agano la replacement ili ufanyike unayeshinda na kutawala siku zote.
Apostle Vincent Makalla akiwa katika madhabahu ya Victory Faith akihubiri injili ya kifalme

No comments:

Post a Comment