Sunday, April 5, 2015

RAISI WA MAREKANI MUHESHIMIWA BARACK HUSEIN OBAMA AUNGANA NA WAKRISTO WOTE DUNIANI KATIKA KUISHEHEREKEA SIKUKUU YA KUKUMBUKA SIKU YA KUFUFUKA KWAKE BWANA WETU YESU KRISTO (PASAKA.)

Raisi wa Marekani Muheshimiwa Baraka Obama amesema Yeye na mke wake Michelle  wanaungana na wakristo wote ulimwenguni kusheherekea sikukuu ya pasaka.  Katika ibada ya asubuhi alihudhuria kanisani na kusema kwamba katika ibada na maombi anayakumbuka mafundisho ya Yesu Kristo kila siku ambayo yanazidi kumuweka imara katika imani. Na siku zote amekuwa anaombea amani, haki na uhuru kwa watu wote. 

"Michelle and I join our fellow Christians around the world in observing Good Friday and celebrating Easter this weekend. With humility and awe, we give thanks for the extraordinary sacrifice that Jesus made for our salvation. We rejoice in the triumph of the Resurrection. And we renew our commitment to live as He commanded – to love God with all our heart, soul and mind, and to love our neighbors as ourselves. I look forward  to continuing our celebration on Tuesday when I host our annual Easter prayer breakfast as we remember the teachings of Jesus in our daily lives, stand with those around the world who are persecuted for their faith, and pray for peace, justice and freedom for all people."

No comments:

Post a Comment