AJALI NYINGINE YA BASI LA PRINCES MUNA LINALOTOKA DAR KWENDA MWANZA
Habari
Za hivi punde:
Ajali ya basi la Prices Muna lililokuwa linatoka Dar kwenda Mwanza
katika kijiji cha Mtanana Kibaigwa Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma.. Kwa bahati nzuri hajafa mtu ila ni mmoja tu amevunjika mkono
No comments:
Post a Comment