Friday, April 3, 2015

MIONGONI MWA WATU WENYE MAONO MAKUBWA NA WANAOLETA VIWANGO NDANI YA KANISA.

Nimemfahamu huyu Mtumishi wa Mungu sasa ni takribani miaka saba na zaidi, ni miongoni mwa watumishi wanaotamani kanisa lipate maendeleo na liwe na viwango vya hali ya juu. Ni mtangazaji, Mc na pia ni mchungaji wa kanisa la nchi ya ahadi. Anaitwa Harisi Kapiga. Jana katika page y alipost maneno machache lakini yenye maana kubwa sana, na maneno hayo ni "We learn something from everyone who passes through our lives.. Some lessons are painful, some are painless.. but, all are priceless"

No comments:

Post a Comment