Friday, April 3, 2015

Asanteni sana mitume na manabii pamoja na watumishi wote na watu wote ambao mnatoa suport kwenye blog hii ya makamanda. Hii ni blog yetu na lengo letu ni kuhubiri injili, nawashukuru wote mnaonisuport na kuendelea kunisuport kifedha pamoja na kunipatia vifaa vya kazi. Nikushukuru sana Apostle Vincent Makalla kwa mchango wako mkubwa, pia nikushukuru sana Apostle Baraza Matibila, Upendo machibya pamoja na wengine wote mnaoonyesha moyo wa kuisuport kazi ya Mungu. Huu ni uwanja wa makaamanda na makamanda lazima tufanye kweli ili jina la Yesu lizidi kuvuma.

No comments:

Post a Comment