Wednesday, April 1, 2015

FAIDIKA NA MIKOPO INAYOTOLEWA NA FAIDIKA

Faidika ni kampuni inayojishughulisha na kutoa mikopo kwa wafanyakazi wa serikari pamoja na taasisi za kiserikali zilizothibitishwa. Kwa Tanzania makao makuu yake yako Posta mpya katika jengo la Pppf Tower Ghorofa ya kwanza. Riba za mikopo yao ni asilimia 4.5 kwa mwezi, na wana mkataba wa kuanzia miezi sita hadi miaka mitano. Ewe mfanyakazi wa serikali wahi nafasi yako ndio hii, Maana bila Mkopo ni Vigumu kkuendelea. Wasiliana na ofisi kwa namba zifuatazo ili kupata maelezo zaidi 0762044600/ 0767044600/0687014949

No comments:

Post a Comment