Mtumishi wa Mungu Edwin Seleli ambae ni kiongozi mkubwa katika Forum ya
kanisa la kielectronic maarufu kama FBCOAN ameamua kuvunja ukimya kwa
kushare picha ya mwanamke ambae mwenye jina la Ikio Aza ambae inasemekana ndio mchumba wake kwa sasa.
Mtumishi huyu ambae siku chache zilizopita alisakamwa na maneno ya watu
wengi kwa kitendo chake cha kuwa mtu mzima mwenye miaka zaidi ya
arobaini na nane lakini haonyeshi hata hata dalili za kuoa, maneno hayo
yamesababisha aweke picha ya mwanamke kwenye wall yake bila kuandika
neno lolote, jambo lililofanya watu wengi watake kujua mwanamke huyo ni nani? Kitendo cha mwaswali hayo kikasababisha team ya makamanda kuingia kazini na kutaka kujua undani wa mwanamke huyo, ambapo ikagundulika kuwa account hiyo ya huyo mwanadada sio account ya kweli bali ni account fake inayotumiwa na tapeli ambae inaonyesha anaishi Ghana.
Hivyo kama Seleli ameingia kichwa kichwa na kudhania amepata mchumba mwisho wa siku ataishia kulia machozi na atapoteza hela zake bure.
No comments:
Post a Comment