Sunday, April 5, 2015

YERICKO NYERERE AIBUKA NA KITUKO KINGINE, ANASEMA "UKIWA MUISLAMU MATAKO YANAKUWA NI SEHEMU YA SHETANI KUJIBURUDISHA KWA MICHEZO YAKE."

Yericko Nyerere ni Mwanasiasa kijana wa Chama Kikuu Cha Upinzani hapa nchini Tanzania Chadema ambae ana detail nyingi sana zinazohusiana na vyama vingi vya kisiasa, lakini pia amewahi kujitambulisha kama muumini wa kanisa moja linalomuabudu Mungu katika Roho na kweli (Pool Of Siloam). Wiki kadhaa zilizopita kijana huyu alizua gumzo mitandaoni baada ya kuost kwenye ukurasa wake wa Twitter na kuuongelea vibaya msiba wa Hayati Captain John Komba. Yericko Nyerere aliandika katika ukurasa wake huo wa Twitter kwamba "Asante Mungu kwa kumuua Komba na kutuachia Mzee wetu Warioba" jambo hilo liliwaudhi watu mbalimbali na kuibua hisia za uchungu ndani yao jambo lililowafanya wengine waanze kumtukana matusi machafu ambayo yalihusisha hadi wazazi wake, lakini pamoja na hayo yote yeye alionyesha msimamo wake na kuendelea kuisimamia ile kauri aliyoitoa kana kwamba yuko sahihi. Wakati mambo yamepoa sasa leo hii Yericko ameibuka tena na kuhoji kuhusu swala ambalo hajalielewa katika mafundisho ya kiislam, na post yake ilikuwa hivi "
Wakuu samahani leo nilikuwa nimetulia nikipitia kuruani,
Kwakweli nilichokiona ni maajabu na hakika nalazima kusaka
ufunuo mwingine kwa wadau wa mambo ya kiroho,

Wakuu samahani leo nilikuwa nimetulia nikipitia kuruani,
Kwakweli nilichokiona ni maajabu na hakika nalazima kusaka ufunuo mwingine kwa wadau wa mambo ya kiroho,
UKIWA MUISLAMU MATAKO YANAKUWA NI SEHEMU YA SHETANI KUJIBURUDISHA KWA MICHEZO YAKE.
Kasema Mtume (s.a.w) “Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala, basi anapuliza (anampuliza) katika matako yake, basi yule mtu inamwijia fikiria ya kuwa umemtoka upepo (kajamba) nae haukumtoka, basi akiona hali hiyo asiondoke kwenye sala mpaka asikie sauti ya kumtoka huo upepo au anuse harufu yake”. (KITABU CHA MKWELI MWAMIU, JUZUU YA 1 -2 HADITHI NA. 74, UK 42)
Sasa hiyo adha ya kupulizwa matako na shetani kwa kila unaposali nani anaitaka? Yaani kila ukienda kusali basi shetani yeye yupo matakoni tu
Naomba ufafanuzi zaidi kama kuna ufunuo mwingine wa aya hiyo.

No comments:

Post a Comment