Wednesday, April 8, 2015

JE! HAYA YANAYOSEMWA KUHUSU MUHESHIMIWA LOWASA NI YA KWELI? AU KUNA NAMNA YA KISIASA NDANI YAKE?

Katika maeneo mengi Lowasa ameonekana ndio kiongozi mwenye mvuto wa kugombea uraisi kupitia ticket ya chama cha mapinduzi. Watu wengi wamesema kuwa endapo ccm wasipompitisha Lowasa na kumpa nafasi hiyo mtu mwingine kuna uwezekano mkubwa sana wa chama hicho kupoteza nguvu na kushindwa na wapinzani kwa kishindo kikubwa kama ilivyotokea Nigeria. Maana ndani ya moyo ya watanzania wengi ni Lowasa tu ndio amepata kibari kwa upande wa chama cha mapinduzi.

No comments:

Post a Comment