Thursday, April 2, 2015

IDADI YA WALIOKUFA GARISA YAONGEZEKA

Watu wapatao 147 wameripotiwa kupoteza maisha kufuatia shambulio la magaidi wa kikundi cha Al Shaabab lililofanywa katika chuo cha Garisa Kenya.
Mamia ya watu wameripotiwa katika tukio hilo ambapo magaidi hao waliwatenganisha waislamu na wakristo na kisha kuwaruhudu waislamu kuondoka kabla ya kuwaua wakristo.

No comments:

Post a Comment