Friday, April 3, 2015

SHUHUDA ZINAJENGA SANA KATIKA UFALME WA MUNGU HIVYO USIACHE KUSHUHUDIA

Siku mbili zilizopita nilipost katika ukurasa wangu wa facebook kwamba kama hauna shuhuda huwezikutumika kwa viwango vya kujenga, namshukuru Mungu kwa neno hilo ambalo leo hii limezaa matunda baada ya kukutana na shuhuda ya kamanda wa Yesu, Apostle Bethania Simon.. Na hii ndio shuhuda yake....... "
MIMI NAOMBA SANA MUNGU NISIJISAHAU,YESU AMENITOA MBALI SANA NA WOKOVU HUU,TOKA MWAKA 1995 MPAKA LEO HII NI BWANA TU HATA HAPA NILIPO.
HAPO CHINI NIKIWA NIMEJAA UPAKO,NIKISUBIRI PRAYERS TEAM WAMALIZIE NIWASHE CHECHE,NIMESHA WAHI KUA NALALA BALAZANI PA MTU, NA NINASHINDIA CHAKULA KIPANDE CHA HINDI LA KUCHOMA,NA MAJI YA SH. 10!!
PAMOJA NA YOOOTE NI MENGI,SIJA WAHI KUMNUNG"UNIKIA BWANA WAWOKOVU WANGU, MAANA FURAHA YAKE ILIKUA NGUVU YANGU,AHSANTE KWA WOTE NILIO PITA MIKONONI MWAO, ASK GODFREY WA T.FC,MAMA AMBONISYE, EV: DORA SAMWELI NK"

No comments:

Post a Comment