Monday, April 13, 2015

USIJIDHARAU MAANA KWA JINSI HIVYO ULIVYO KUNA MTU ATAKAEKUPENDA HIVYO HIVYO, WENYE MAPENZI YA KWELI HADI LEO WAPO HUTAKIWI KUKATA TAMAA...


1 comment:

  1. Haaaah Kamanda leo hii umetoa kali. But kwa wadada zetu wa Tz inawezekana kweli? Maana kwa wale dada zetu wa SINZA & KAWE sana sana huku MBEZI BEACH karibu na kwa MAMA KIWELU aaah itakuwa ngumu sana.
    But wacha tumwamini NGAI kwani yeye ndo mwisho wa yote.

    ReplyDelete