Wednesday, April 15, 2015

AJALI NYINGINE TENA YATOKEA NCHINI..

Basi la Jordan lenye namba za usajili T 650ADZ linalofanya safari zake Mwanza-Arusha limepata ajali wilaya ya Nzega leo. Idadi kamili ya majeruhi na waliopoteza maisha bado haijajulikana





No comments:

Post a Comment