Wednesday, April 8, 2015

MCHUNGAJI AMENUSURIKA KUMCHINJA KIJANA WAKE KAMA SADAKA MBELE ZA BWANA..

Mchungaji, chupuchupu amtoe isaka wake sadaka. Mchungaji huyu anadaiwa kumchinja mwanae shingo, ni baada yakusikia Sauti inayo mwagiza kumchinja mwanae kama kondoo wasadaka kwa mungu wake.!!!!!!? Nikweli wakati huu MUNGU anaweza kumpa mtumishi wake jaribu kama hili?
Sorce Mtumishi Michael Benjamin
Mchungaji akiwa chini ya ulinzi
Mtoto aliyenusurika kuchinjwa

No comments:

Post a Comment